Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni mbunge wa CHADEMA, Godbless Lema amesema njia pekee ya Serikali kujiondoa katika lawama tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ ni kuruhusu vyombo vya nje kufanya uchunguzi.Lema ametoa kauli hiyo leo Jumanne Oktoba 16, 2018 katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya Chadema Kinondoni, jijini Dar es...
No comments:
Post a Comment