Mahakama yapokea hati ya kifo mshtakiwa kesi ya uhujumu uchumi

Mahakama  ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepokea hati ya kifo ya mshtakiwa wa tatu Benjamin Mwakatumbula aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi na kusababishia serikali hasara ya Sh.bilioni 1.16, pamoja na wenzake akiwamo Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho (NIDA) wa zamani, Dickson Maimu. Mwakatumbula wakati wa uhai wake alikuwa Kaimu Mhasibu Mkuu wa Nida,...
Read More

No comments:

Post a Comment