Tazama Hapa Mapingamizi Matatu Yaliyotolewa na Upande wa Jamhuri Katika Rufaa ya Freeman Mbowe na Ester Matiko

 Upande wa Jamhuri katika rufaa ya dhamana ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko umepinga rufaa hiyo na kutoa sababu za kufanya hivyo. Jamhuri imeweka pingamizi la awali ikiwasilisha hoja tatu za kutaka rufaa hiyo itupiliwe mbali bila hata kusikiliza msingi wake. Katika hoja ya kwanza, Wakili wa Serikali Mkuu, Dk Zainabu Mango amesema kuwa taarifa...
Read More

No comments:

Post a Comment