Naibu Katibu Mkuu wa Chadema- Zanzibar, Salum Mwalimu amesema muswada wa marekebisho wa vyama vya siasa uliosomwa bungeni Novemba 16 utaliliweka Taifa katika hatari kubwa kwa sababu utavuruga vyama vya siasa pamoja na maisha ya wananchi. Amesema hayo leo Desemba 9 katika mkutano uliovikutanishwa vyama 15 vya siasa vya upinzani wakati vikitoa tamko lao linalopinga muswada wa...
No comments:
Post a Comment