Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji amesema muswada wa marekebisho wa sheria ya vyama vya siasa unaondoa uhuru wa kushirikiana kisiasa na kumpa msajili kinga ya kutoshtakiwa au kupingwa katika vyombo mbalimbali vinavyotoa haki. Ameeleza hayo leo Desemba 9 wakati wa mkutano uliovikutanishwa Vyama 15 vya siasa vya upinzani wakati vikitoa tamko lao la kupinga muswada wa marekebisho...
No comments:
Post a Comment