Lazaro Nyalandu Ashuhudia Freeman Mbowe Akirudishwa Gerezani....Rufaa Yao Kusikilizwa February 18

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  imeelezwa kuwa rufaa ya kupinga dhamana iliyokatwa na upande wa mashtaka dhidi ya Mwenyekiti wa  Chadema, Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko itaanza kusikilizwa  Februari 18, 2019  katika Mahakama ya Rufaa. Hayo yameelezwa  leo Alhamisi  na wakili wa Serikali, Wankyo Simon mbele ya hakimu mfawidhi, Kelvin Mhina...
Read More

No comments:

Post a Comment