SIKU YA MOYO DUNIANI

Wafanyakazi wa NBC waadhimisha Siku ya Moyo Duniani kuchangisha fedha kusaidia vijana na watoto wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakianza matembezi ya hisani ya takribani Kilomita 10 jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni moja ya matukio ya benki hiyo kudhimisha Siku ya Moyo Duniani ambapo kiasi cha pesa watakachochangisha kitapelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kusaidia watoto na vijana wanaosumbuliwa na matatizo ya ugonjwa wa moyo. Siku ya Moyo Duniani huadhimishwa kimataifa Septemba 29 kila mwaka. Hapa baadhi ya wafanyakazi hao wakipita katika...

No comments:

Post a Comment