Na Daniel Mjema, Mwananchi
Posted Jumatatu,Oktoba20 2014 saa 9:13 AM
Kwa ufupi
Tukio hilo lilitokea juzi saa 9:00 alasiri katika mji mdogo wa Tarakea uliopo mpaka wa Tanzania na Kenya. Maharusi hao, Lameck Yesse na Gladmarry Mushi walivuta hisia za wengi kwa kuwa bwana harusi ni dereva wa gari dogo la abiria aina ya Toyota Noah analolimiki na bibi harusi ni mwanafunzi wa chuo jijini Arusha
Tukio hilo lilitokea juzi saa 9:00 alasiri katika mji mdogo wa Tarakea uliopo mpaka wa Tanzania na Kenya. Maharusi hao, Lameck Yesse na Gladmarry Mushi walivuta hisia za wengi kwa kuwa bwana harusi ni dereva wa gari dogo la abiria aina ya Toyota Noah analolimiki na bibi harusi ni mwanafunzi wa chuo jijini Arusha.
Mashuhuda walisema tukio hilo ni la kwanza na la aina yake katika mji huo. Maharusi hao walifunga ndoa katika Usharika wa Tarakea wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), na ibada iliongozwa na Mchungaji Emmanuel Dediok.
http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Harusi-yaacha-gumzo-Rombo/-/1597296/2492730/-/10bjj8y/-/index.html
http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Harusi-yaacha-gumzo-Rombo/-/1597296/2492730/-/10bjj8y/-/index.html
No comments:
Post a Comment