LUNDENGA AOMBA VITHIBITISHO VYA MISS TANZANIA 2014

                  Posted by GLOBAL on October 21, 2014 at 3:00pm Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency ambao ni waratibu wakuu wa Mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (katikati) akionyesha cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014 kwa wanahabari (hawapo pichani). Kushoto ni Miss Tanzania, Sitti Mtemvu.…

No comments:

Post a Comment