KWAKO mkali wa Bongo Fleva, Khaleed Mohamed
‘TID’ mambo vipi mzee? Kitambo kidogo sijakutia machoni. Mara nyingi nakuona
kupitia vyombo vya habari. Naamini u-mzima wa afya.Ukitaka kujua hali yangu,
mimi pia sijambo naendelea na mishemishe za mjini si unajua mjini mipango, tupo
kama kawa.
Mazungumzo baada ya salamu hizo, nataka nikupe
dhumuni la barua hii. Nimekuandika barua hii nikiwa na mambo mawili ya msingi.La
kwanza kabisa ni kukumbusha juu ya umuhimu wako katika jamii kama msanii maana
wewe ni binadamu, yawezekana umepitiwa kidogo, kukumbushana muhimu.
No comments:
Post a Comment