BATULI ACHEZEA SHARUBU ZA KAJALA


Imelda Mtema

STAA wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ameonekana kuchezea ‘sharubu’ za Kajala baada kuweka picha ya kiazi kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram kitu ambacho kimeonekana ni kumkejeli staa mwenzake huyo kutokana na Wema Sepetu kumuita kiazi.
Staa wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’.
Akichezesha taya na Amani baada ya kubanwa kwa nini aliweka picha hiyo kwenye Instagram yake, alisema kuwa yeye ana maamuzi ya kuweka kitu chochote kwenye ukurasa wake huo hivyo…

No comments:

Post a Comment