PETE YA UCHUMBA YA LULU YAWA GUMZO!


Mwandishi wetu

MSHTUKO! Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amezua gumzo ukumbini baada ya kuonekana akiwa amevaa pete iliyoaminika kuwa ni ya uchumba na kusababisha minong’ono miongoni mwa mashabiki wake.
Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Mpango mzima ulijiri wikiendi iliyopita katika Ukumbi wa Sinema wa Mlimani City (Cinemax) kulipokuwa na uzinduzi wa sinema ya 10 Bora ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talent, mwaka jana ijulikanayo kama Mpango Mbaya.
Punde tu baada ya Lulu…

No comments:

Post a Comment