FAIZA: WATANZANIA NISAMEHENI JAMANI


Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ Faiza Ally.
Imelda Mtema

MZAZI mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ Faiza Ally, hivi karibuni katika tuzo za KTMA aliwaacha watu midomo wazi baada ya kutinga na kivazi kilichoacha sehemu kubwa ya makalio yake nje na kuzua minong’ono katika mitandao ya kijamii.
Akizungumza na Amani kwa kuonekana kujutia kitendo kilichotokea, Faiza alisema kuwa ile nguo aliishona ikiwa imeziba sehemu yote ya nyuma japokuwa ilikuwa…

No comments:

Post a Comment