ODAMA AZIDI KUMFICHA BABA WA MTOTO!


Imelda Mtema
STAA anayejitambua ndani ya gemu la filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefungua kinywa chake kuwa watu wanaosubiri amnadi baba watoto wake watakuwa wamechelewa sana kwani hana mpango huo kwa sasa.
Staa anayejitambua ndani ya gemu la filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’.
Akichonga na Amani Odama alisema, kila kitu katika maisha kina mpangilio wake hivyo wakati utakapofika atamtambulisha baba wa mtoto wake kwa kuwa yupo hivyo watu wapunguze haraka na wala yeye siyo msiri kama…

No comments:

Post a Comment