RAY: CHUCHU SI MPITA NJIA


Imelda Mtema

NYOTA mkubwa katika Bongo Movies,Vincet Kigosi ‘Ray’ ameweka wazi kuwa Chuchu Hans, ambaye ni mpenzi wake wa muda mrefu, si mpita njia, bali ni mwanamke anayesubiri ndoa kwa kuwa ana sifa zote za kuwa mke.
Nyota mkubwa katika Bongo Movies,Vincet Kigosi ‘Ray’ akiwa na mpenzi wake Chuchu Hans .
Kwa sababu hiyo, alisema siyo jambo zuri kufikiri kila anapotoka katika mitoko yake ya usiku awe naye kwa kuwa mke hafai kuwa mtu wa kuzunguka naye usiku kama hakuna ulazima wa kufanya naye hivyo.
“Kama hivi, mimi nimekuja hapa kwenye…

No comments:

Post a Comment