Msanii Hafsa Kazinja aokoka baada ya kukutana na mauzauza jukwaani

MWANAMUZIKI aliyeamua kumgeukia Mungu na kuokoka, Hafsa Kazinja amefunguka kuwa alikuwa akiteswa na mauzauza ya kishirikina pindi alipokuwa katika majukwaa akiimba Bongo Fleva. Akipiga stori na paparazi wa Udaku Specially , Hafsa alisema alikumbana na mambo mengi sana ya ajabu ikiwemo kuona majoka...

    No comments:

    Post a Comment