Wema Sepetu: Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana

Mrembo mwenye ushawishi mkubwa zaidi kwenye social media hapa Bongo, ambaye alishawahi kujinyakulia taji kubwa zaidi la ulimbwende hapa Bongo bibie Wema Sepetu ameandika maneno mazito sana kwenye mtandao maarufu wa Instagram ambayo yamevuta hisia za watu mbali mbali wakiwemo ma superstar wengine ndani...

    No comments:

    Post a Comment