Mtandao wa BADOO unanivunjia uchumba wangu

Nina mchumba wangu tupo kwenye mahusiano kama mwaka sasa unafika na soon tulikuwa tunasubiri jambo fulani ili mwezi wa 11 tufunge ndoa, kimsingi tunapendana sana, sijawahi hata siku moja ku-notice jambo lolote baya kati yetu linaloweza kuleta labda ugomvi na kutokuelewana, tupo vizuri na tunafuraha...

No comments:

Post a Comment