MWANAFUNZI WA SEKONDARI ANATAKA KUVUNJA NDOA YANGU.

MWANAFUNZI WA SEKONDARI ANATAKA KUVUNJA NDOA YANGU.

Wajumbe mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 33 Ni Mwajiriwa wa Serikali, nimeoa na nina mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 3. Licha ya kwamba niko kwenye ndoa, lakini ilitokea siku moja asubuhi nikiwa barabarani na gari langu nikitokea nyumbani kwangu Mitaa ya Kihonda Magorofani nikielekea kazini...

No comments:

Post a Comment