Nimetembea na mke wa boss na kapata ujauzito.

Mimi ni dereva namuendesha mke wa boss wangu.   Toka nimeanza kazi hii yapata mwaka mmoja sasa mke wa boss alianza mitego nikawa namvumilia, kuna siku tulisafiri kwenda Mtwara kwenye biashara za huyu mama, kufika kule yule mama alilipia chumba kimoja tu nakuniambia tutalala wote na nikikataa.

No comments:

Post a Comment