Halmashauri ya Rombo Hatarini Kufutwa

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Meck Sadiki amesema Halmashauri Wilaya ya Rombo iko hatarini kufutwa kutokana na kushindwa kufikia lengo la Serikali la kukusanya mapato kutoka kwenye vyanzo vyake. Sadiki alisema hayo jana wakati akizungumza na madiwani, wenyeviti wa vijiji na wakuu wa idara wa halmashauri hiyo. Alisema wilaya hiyo inatumia asilimia 93 ya ruzuku kutoka serikalini...
Read More

No comments:

Post a Comment