Mahakama Yataifisha Ng’ombe 1,312 Kwa Kosa la kuchunga ndani ya Hifadhi ya Wanyamapori

MAHAKAMA ya mkoa wa Katavi imetaifisha ng’ombe 1,312 walioingizwa na kuchunga ndani ya hifadhi ya wanyamapori ya Rukwa huku washtakiwa watatu wakinusurika kutumikia vifungo vya miaka miwili jela baada ya kulipa faini kati ya Sh 500,000 na 700,000. Katika shauri la kwanza mfugaji, Shigera Mayunga (22) amenusurika kifungo cha miaka miwili jela baada ya kulipa faini ya Sh 700,000 katika Mahakama...
Read More

No comments:

Post a Comment