Marekani Yaipatia Bilioni 895 Tanzania kufikia malengo

Serikali ya Marekani, kupitia shirika lake la Misaada ya Maendeleo USAID, imeipatia Tanzania msaada wa dola Milioni 407 sawa na zaidi ya shilingi Bilioni 895 zitakazotumika kwaajili ya kuendeleza sekta za Kilimo, Afya, Nishati ya Umeme, Elimu na Utawala Bora, katika kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia mwaka 2016/2020. Hati za makubaliano hayo zimetiwa saini Jijini Dar es salaam, kati ya...
Read More

No comments:

Post a Comment