Marekani yamtaka Odinga kusitisha mpango wa kuapishwa kuwa Rais

Nchi ya Marekani imemtaka Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga kuacha mpango wake wa kuapishwa kama rais wa nchi hiyo wiki ijayo Desemba 12, 2017. Msaidizi wa Katibu wa Masuala ya Afrika Marekani, Donald Yamamoto alipotembelea Kenya,  ametaka kuwepo majadiliano ya pande zote mbili baina ya upinzani na serikali iliyoko madarakani. Licha ya wito huo, baadhi ya viongozi...
Read More

No comments:

Post a Comment