CHADEMA yatoa tamko

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimelitaka Jeshi la Polisi nchini kutoa taarifa rasmi juu ya matukio ya kuwakamata na kuwapekua viongozi wa kisiasa katika ngazi mbalimbali nyakati za usiku bila ya kuwepo na sababu zozote zenye misingi ya kisheria. Hayo yameelezwa na taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa chama hicho, Tumaini Makene leo Aprili 25, 2018 na kusema ...
Read More

No comments:

Post a Comment