Ubalozi wa Marekani nchini umetoa tahadhari kwa wananchi wao wanaoishi Tanzania kuhusu maandamano ya kisiasa yanayotarajiwa kufanyika Aprili 26. Maandamano hayo yanatarajiwa kufanyika siku ya Muungano huku baadhi ya wanasiasa wakiwa tayari wameshafunguliwa kesi mahakamani kutokana na tuhuma mbalimbali. Ubalozi umetoa tahadhari kwa raia wake wote kwamba siku ya Aprili 26 wanatakiwa kuwa...
No comments:
Post a Comment