Mfanyakazi wa ndani aliyemuua mwajiri wake pamoja na mtoto wake mwenye miezi mitatu huko Muhoroni, Kisumu nchini Kenya na kutokomea kusikojulikana amekamatwa Uganda na jeshi la polisi la nchi hiyo. Jacky Auma alikamatwa katika eneo la Namayisi nchini Uganda baada ya jeshi la Polisi nchini Kenya kuwapa taarifa juu ya mtuthumiwa huyo kukimbilia katika mipaka ya nchi hio. Jacky anatuhumiwa kutenda...
No comments:
Post a Comment