Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri ametupilia mbali pingamizi la viongozi wa Chadema akiwemo Freeman Mbowe la kutaka kesi ya kufanya maandamano ifutwe badala yake ameagiza hati ya mashtaka ya kesi hiyo ifanyiwe marekebisho. Mashauri amesema amekubaliana na hoja 2 za upande wa mashtaka kati ya hoja 8 ambazo ziliwakilishwa Mahakamani na upande wa mashtaka. Hata hivyo, upande...
No comments:
Post a Comment