Mahakama Kuu mjini Kigali imeamua kumuachilia huru kwa dhamana mwanasiasa wa upinzani Diane Rwigara na mamake na watafuatiliwa wakiwa nje ya gereza. Jaji wa mahakama kuu mjini Kigali ametangaza kwamba maombi yao ya dhamana yamekubaliwa lakini wakawekewa masharti ya kukabidhi Pasport zao kwa mwendesha mashtaka. Aidha wametakiwa kutovuka mipaka ya jiji la Kigali bila kibali maalumu. Wawili...
No comments:
Post a Comment