Serikali imetanga kuanza mpango wa mabasi ya abiria katika mikoa mitano nchini, kuanza safari za ndani na nje ya nchi saa 11 alfajiri kuanzia Oktoba 9, 2018 ili kurahisisha safari kwa abiria na kufika mapema. Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 4, 2018 jijini Arusha, katika ziara ambayo aliifanya Uwanja wa...
No comments:
Post a Comment