Rufaa ya Mbowe na Wenzake Yatupiliwa Mbali na Mahakama

 Mahakama ya Rufaa imetupilia mbali rufaa iliyofunguliwa na viongozi wa Chadema wakiongozwa na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kutokana  na  kasoro za kikanuni katika hati ya taarifa ya kusudio la kukata  rufaa. Uamuzi  huo wa mahakama ulioandaliwa  na  jopo la majaji watatu wa mahakama hiyo; Dalum Mbarouk (mwenyekiti wa jopo), Shaban Lila na Jacobs...
Read More

No comments:

Post a Comment