Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimewataka wanachama wake nchi nzima kufika mahakamani wakati kesi inayowakabili viongozi wake watano itakapounguruma ili wajionee uendeshwaji wa kesi na kuamua kwa pamaoja nini cha kufanya.Wito huo wa CHADEMA umekuja saa chache baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu kuamua kufuta dhamana ya viongozi wawili wa chama hicho, Mwenyekiti wa chama taifa,...
No comments:
Post a Comment