Jaji Sam Rumanyika anayesikiliza kesi ya pingamizi la rufaa ya kupinga uamuzi wa kufutiwa dhamana ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko, amepiga simu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akiamuru mwenendo wa kesi na uamuzi uliowafutia dhamana washtakiwa hao umfikie ofisini kwake haraka. Jaji Rumanyika alifanya hivyo leo...
No comments:
Post a Comment