Viongozi, wanachama na wafuasi wa CHADEMA Wafurika Mahakamani Kusikiliza Rufaa ya Freeman Mbowe

Viongozi, wanachama na wafuasi wa Chadema na vyama rafiki wamefurika katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kusikiliza rufaa ya dhamana ya Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini (Chadema), Ester Matiko. Mbowe ambaye ni Mbunge wa Hai na Matiko ambaye pia mweka hazina wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) wamekata rufaa Mahakama Kuu kupinga uamuzi wa Mahakama...
Read More

No comments:

Post a Comment