Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) limelalamikia Jeshi la Polisi kuwazuia wanachama wa chama hicho wanaofika mahakamani kufuatilia kesi zinazowahusu vigogo wa chama hicho.Kufuatilia hali hiyo Bavicha wamemuomba Jaji Mkuu wa Tanzania na msajili wa mahakama kuingilia kati na kutoa tamkoMwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi wengine saba wanakabiliwa na kesi mahakamani, mara...
No comments:
Post a Comment