Wabunge wanaotoka Vyama vya Upinzani nchini wametakiwa kufuata sheria na taratibu pindi wanapoenda kwenye vikao vya Bunge Jijini Dodoma, na wala wasifanye shughuli ambazo zitapelekea kutiwa nguvuni na vyombo vya dola. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobasi Katambi . Katambi amebainisha kuwa hajawahi kukutana na wabunge wa upinzani pindi wanapokuja kwenye...
No comments:
Post a Comment