Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:-
1. Warombo wajanja sana kibiashara/wezi pia, wameajiri Wamarangu mjini ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini.
2. Kuna Wamarangu wazuri sana wa sura na umbo wanawachuna Warombo, wanaume ni waoga kuliko wanawake.
3. Kuna Wakibosho wanafanana na Warombo lakini ni wavumilivu zaidi, wanatunza pesa vizuri na wanahasira sana ila wanamsimamo katika biashara.
4. Kuna Wamachame hawa ni wezi sana, ukifanya nae dili umeliwa, niwasiri sana, anaweza kukuua huku akitabasamu, sio waaminifu sana lakini huenda kanisani mara nyingi zaidi kuliko Wachaga wote.
5. Kuna Wauru, hawa hupenda kusoma sana lakini hawapendi maendeleo kabisa, wanawake wakifikisha umri wa 40 yrs hua wehu na wanaume ni vichaa mapema zaidi. Wanaume ni wavivu, wanawake ni wachapakazi hodari. Ukioa huko jiandae kulea kichaa.
6. Kuna Wakirua, wanapenda sifa kama Wahaya. Mwanamke wa Kirua hawezi kua na mwanaume mmoja na wanaume wao hawaoi kwao, wako wachache lakini watatu tu mjini mtadhani wako mia.
7. Kuna Wa-old Moshi. Hawa ni mafundi stadi wa ujenzi wa nyumba japo hawajengi manyumbani kwao. Mpaka leo hamna daladala ya kwenda Old-Moshi maana niwabishi kulipa nauli na pesa inaishia kwenye mbege njiani. Wanaume wamezoea kutoka nyumbani saa kumi na moja alfajiri na kurudi saa sita ya usiku kwa miguu. Ktk familia ya watoto watatu ujuwe wawili ni wa baba wa jirani muuza nyama au bar.
Sent from my BlackBerry 10 smartphone.
TOP TEN YA MASTAA KUVAA NUSU UTUPU SIYO ISHU KWAO!
MAKALA: AMRAN KAIMA/Ijumaa
Ukifuatilia sana kwenye nchi za wenzetu kama vile Marekani na kwingineko, mastaa hawako makini na suala la uvaaji. Yaani si ajabu kuona staa mkubwa akikatiza mtaani akiwa amevaa nguo ya ndani na ukishangaa utaonekana mshamba.
Wanaovaa hivyo hawajakosa nguo za heshima za kuvaa bali ni ule ulimbukeni wa kutaka wawe gumzo na kuendelea kuwa maarufu.Kutokana na athari ya utandawazi, hapa Bongo wapo mastaa ambao nao wameiga kiasi cha kutoona aibu kuvaa nguo zinazoacha wazi…

SKENDO! LULU, WOLPER WAONESHANA JEURI YA MABWANA!
Stori: Musa Mateja/Ijumaa
Sakata la kupangishiwa nyumba za kifahari na wanaume linazidi kuchukua sura mpya kwa mastaa wa kike ndani ya tasnia ya sinema za Kibongo ambapo safari hii mastaa wawili, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Jacqueline Walper ‘ Wolper’ Massawe wanadaiwa kuoneshana jeuri ya mabwana wakipima ni yupi mwenye mshiko zaidi huku akina Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja ambao awali walikuwa juu wakipotezwa.

MBUNGE KENYA AMFUKUZA KAZI MFANYAKAZI WAKE BAADA YA KUKATAA KUFANYA NAE MAPENZI
Susan Wambui Maina Juja
MP Francis Munyua Waititu
Recently Juja MP Francis Munyua Waititu sacked one of his employees Susan Wambui through text.
But that is not the shocking part…
The Juja Member of Parliament is believed to have demanded sex from Wambui and when she did not agree to his demands, he gave her the sack via text.
Wambui who works as a secretary at the Juja CDF Offices shared the texts sent to her by the Juja MP on social media.
Here are the texts below:
” Ulikataa nikule hizo vitu na vile nazimezea mate. Now i am employing another person on your behalf. Hii dunia kila kitu ni nipe nikupe. Ken will give you the other details on how to to clear from the office. Goodbye” sent on 23/10/2014
”I can see even you are supporting Kabogo’s brother on that nonsense he posted on Kalimoni group. I thought of paying you through CDF because I removed you from PSC through anger even CDF you will not get. Nowadays it is unipe nikupe my friend.Dont think Kangethe will take you anywhere. Try and see” sent on 31/10/2014
” The worst mistake can be if you are used by Kabogo fanatics to spoil my name. All secrets from my office should be left there or else you will regret”
And this is what Susan had to reply to Waititu:
“I like that sir, As you can see I have not replied to your messages since the first one. I would rather be jobless than leave my husband and be a mistress. You own Juja but you don’t own Kenya. The same God who made you an MP without sleeping with anyone is the same God who will bless me. Do me a favor and leave me alone. Employ the ones who will sleep with you all you want mimi apana. And on Facebook I have the right to comment to whoever i want.”
JOHARI AMWANIKA MWANAUME AMTAKAYE
STAA wa filamu, Blandina Chagula ‘Johari’ ameamua kuvunja ukimya wa muda mrefu baada ya kuweka wazi mwanaume ambaye anahitaji amuoe na sababu inayomfanya asijichanganye na mastaa wenzake.
Katika makala haya Johari amefunguka mengi, msome;
Mwandishi: Kwa nini mara nyingi hupendi kujichanganya na mastaa wenzako?
Johari: Ujue nina kampuni ambayo wakati wote nahitajika kuwepo hapo, na kama kujumuika, najumuika na wenzangu pale…

MCHUUZI WA SOKO JIPYA LA KAWE AIBUKA NA TOYOTA IST
Mfanyabiashara wa Soko la Jipya la Kawe, Grace Pascal Kalengela (wa pili kulia), ambaye aliibuka mshindi wa Droo ya tatu ya promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi akishangiliwa na wafanyabiashara wenzake sokoni hapo, kabla ya kukabidhiwa zawadi ya gari jipya aina ya Toyota IST lililosajiliwa kwa namba T 783 DCZ katika hafla iliyofanyika eneo la Kawe jijini Dar es Salaam jana.
Meneja Biashara wa…
OFM YAFUMUA DANGURO MWANZA
Mwandishi Wetu/Mchanganyiko
Baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa kuna maeneo jijini Mwanza yanatisha kwa biashara ya ngono, Operesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers hivi karibuni imetua na kufanikiwa kufumua dangaro maarufu.

Makahaba hao wakiwa katika mawindo yao ya kila siku.
Awali, dawati la OFM lilipokea sms kutoka kwa msomaji wake aliyeomba hifadhi ya jina lake iliyosomeka hivi: “Jamani nyie tunawaaminia kwa kufichua maovu, tumeona kazi nyingi nzuri mlizofanya Dar sasa tunaomba mje huku Mwanza maana…NDOA YA SLIM YAVUNJWA MAHAKAMANI
Aliyekuwa mke wa staa wa filamu nchini, Salim Mbegu ‘Slim’, Asia Morgan akiwa katika pozi.
“Mahakama hii imevunja baada ya mdai (mke) kusema hata iweje hawezi kurudi tena kwa mumewe huyo kutokana na kuwa na wivu wa kupindukia na kingine kibaya walivyokuwa kwenye mgogoro kuna mwanamke alikuwa akijinadi kwa kupiga picha nyumbani kwa mumewe na kuzituma kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram,” alisema Hakimu Mwanaidi Madeni wa mahakama…WASTARA AZIMIA KISA MAPENZI
Waandishi wetu/Mchanganyiko
DIVA wa filamu nchini, Wastara Juma ambaye kwa sasa anaripotiwa kuwa katika mapenzi na mwigizaji mwenzake, Bond Bin Suleiman anadaiwa kupoteza fahamu mara tu baada ya kupewa taarifa kuwa mpenziwe huyo amepata mtoto wa nne kwa mwanamke mwingine, Risasi Mchanganyiko linakupa stori kamili.
TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo makini, Wastara alipenyezewa ubuyu na mpenzi wa zamani wa…

Maneno ya Zari Hassan kwa picha inayo muonyesha Diamond Platnumz akichungulia anacho kifanya kwenye simu
Mwimbaji Lady JayDee alisha imba kuwa "Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli". Ukiona upo na mpenzi na yeye hana wivu kwako basi hana mapenzi ya kweli kwako.Picha inayo muonyesha Nasib Abdul aka Diamond Platnumz akichungulia kwenye simu ya mpenzi wake 'Zari Hassan' ime make headline kwenye mitandao ya kijamii.Lakini lakufurahisha ni maneno aliyo yaandika mama huyo kuhusiana na picha hiyo kuwa alizani ni yeye tu huwa anatabia ya kuchungulia nini Diamond anachokifanya kwenye simu kumbe hata Nasib naye huwa anachungulia nini The Boss Lady anakifanyaga kwenye simu.
Haya ndiyo maneno ya Zari "Thought i was the only one with this peeping habit��, your so busted Boo..
SNURA: NILIPOTELEA SAUZ NA MOMBASA
Gladness Mallya/Ijumaa wikienda
Alikuwa wapi? Baada ya kupotea kwa muda mrefu, staa wa sinema na muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi hatimaye ameibuka na kueleza sababu za ukimya wake.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda katika mahojiano maalum, Snura amefunguka kwamba ukimya wake ulitokana na kwenda Afrika Kusini ‘Sauz’ kushuti video ya wimbo wake wa Najidabua na siyo kweli kwamba alikuwa mkoani Mbeya kwa mwanaume.
Katika intavyu hiyo, Snura alikanusha tetesi za…

Le Projectii:Wema Sasa Ampikia na Kumpakulia Ommy Dimpoz
Floyd Mayweather ametangaza Rasmi Mpambano mkubwa wa dola za kimarekani milioni 250 dhidi ya Manny Pacquiao kwa kuonyesha mkataba uliosainiwa.
Pambano la pesa nyingi katika historia liko mbioni, Mayweather ameonyesha kopi ya mkataba uliosainiwa pamoja na Manny Pacquiao katika mitandao ya kijamii. Mpambano huo uliokuwa katika matayarisho kwa muda wa miaka mitano utafanyika MGM Grand Las Vegas.
Floyd Mayweather |
Utakuwa ni mpambano ghali zaidi kutokea katika historia za ngumi
zakulipwa, utagharimu jumla ya Dola za Kimarekani 250. Katika pesa hizo
inaeleweka kuwa Mayweather anauhakika wa kuchukuwa Dola milioni 150 wakati Manny
Pacquiao atachukuwa dola za kimarekani milioni 100.
Sikuzote Mayweather amekuwa mshikadau mkubwa katika mikataba yake yote
anayoingia kupelekea yeye kupewa kile anachokitaka.
PENZI LAKE NA WEMA ,KUMBE DIMPOZ BOYA TU
Stori: Musa mateja
HABARI ya mjini ni kwamba, lile penzi linalonadiwa la Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na mwigizaji Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limejaa magumashi, ikidaiwa kuwa jamaa huyo kawekwa kama boya tu, nyuma yake kuna kigogo mzito serikalini ndiye anayekula vinono, Risasi Jumamosi limetonywa.
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, Dimpoz ameagizwa na kigogo huyo awe mpenzi…

ODAMA AFUNGUKA KUCHANGIA WANAUME!
Laurent Samatta
MAMBO yanazidi kunoga ndani ya safu hii ya Sindano 5 za moto, kutokana na maombi yenu, leo tumemleta kwenu mwigizaji Jeniffer Kyaka ‘Odama’, tiririka naye:
Paparazi: Mambo vipi Odama! Tuanze moja kwa moja na swali la kwanza, hivi kwa sasa una mpenzi? Mbona hatumjui?Odama: Mambo poa! Mpenzi ninaye, nampenda muda bado wa kumuanika.Paparazi: Ulishawahi kuchangia bwana na mwanamke mwingine katika maisha yako?…

MALICK: SIJAONA KAMA ROSE NDAUKA
Imelda Mtema/Ijumaa
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Malick Bandawe ambaye sasa anatamba na wimbo wake wa Tucheze amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa tangu atengane na mzazi mwenziye, Rose Ndauka bado hajatokea wa kumtetemesha.
Akizungumza na Ijumaa juzikati, Malick alisema kuwa huko nyuma alipomuona Rose alimtetemesha na kuamua kuingia mzimamzima mpaka kufikia hatua ya kupata naye mtoto lakini mpaka sasa hajatokea kama yeye.…

Subscribe to:
Posts (Atom)