US President Barrack Obama to visit Kenya on 23rd July this year. Uhuru Confirms
http://www.kenyan-post.com/2015/03/us-president-barrack-obama
http://www.kenyan-post.com/2015/03/you-need-to-know-this-from-uhuru-it.html
Sheria Kali Yaandaliwa Kuwabana Wahalifu wa Mitandao......Ukinaswa Unasambaza Picha za UCHI, Taarifa za Uongo na Matusi Kifungo chake ni Miaka 10 Jela
WAHALIFU wa mtandao pamoja na wasambazaji wa picha za utupu na ngono, wasambazaji wa taarifa za uwongo, za kibaguzi na matusi na watu wengine ambao wanafanya udanganyifu unaohusiana na kompyuta wametungiwa sheria kali ambayo itawafanya kwenda jela hadi miaka 10 au kulipa faini isiyopungua Sh milioni 50.
Miongoni mwa miswada ya sheria utakaowasilishwa bungeni na Serikali wiki hii mjini Dodoma, ni Sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 ambayo imeainisha makosa mbalimbali yanayofanywa na wananchi katika kipindi hiki ambacho matumizi ya mtandao wa kompyuta yameongezeka.
Baadhi ya makosa yaliyoainishwa kwenye sheria hiyo ni kughushi kunakohusiana na masuala ya kompyuta, udanganyifu unaohusiana na kompyuta, ponografia za watoto, picha za utupu, matusi na ngono, makosa yanayohusiana na utambuzi, uwongo, ubaguzi, matumizi ya kibaguzi, mauaji ya kimbari na unyanyasaji kupitia mtandao wa kompyuta.
Katika sheria hiyo, mtu atakayesambaza ponografia ya watoto kupitia mtandao wa kompyuta atawajibika kulipa faini isiyopungua Sh milioni 50 au mara tatu ya faida iliyopatikana kinyume cha sheria au kifungo kisichopungua miaka saba jela au vyote kwa pamoja.
Mkosaji pia ataamriwa kumlipa mwathirika fidia. Kwa upande wa kusambaza picha za ngono, matusi, uasherati atalipa faini isiyopungua Sh milioni 30 au kwenda jela miaka 10 au vyote.
Lakini mtu atakayesambaza picha za utupu atalipa faini isiyopungua Sh milioni 20 au kwenda jela miaka saba au kutumikia adhabu zote kwa pamoja.
Pia kweye muswada huo mtu ambaye atatoa taarifa, data au maelezo kwa njia ya picha, maandishi, alama au aina nyingine yoyote zikiwa ni za uongo akipatikana na hatia atalipa faini isiyopungua Sh milioni 3 au kutumikia kifungo jela kisichopungua miezi sita au vyote.
Kwa upande wa ubaguzi, sheria hiyo inakataza mtu kutumia mtandao wa kompyuta kutozalisha vitu vya kibaguzi kwa madhumuni ya kuvisambaza na iwapo atatiwa hatiani atalazimika kulipa faini ya Sh milioni tatu au kifungo cha mwaka mmoja jela.
Pia mtu akimdhihaki mtu mwingine kwa kupitia mfumo wa kompyuta kwa mwelekeo wa ubaguzi wa rangi, kabila, asili, utaifa au dini fulani akitiwa hatiani atatozwa na Mahakama faini ya Sh milioni tatu au kifungo cha mwaka mmoja jela au vyote kwa pamoja.
Pia sheria hiyo inakataza mtu kuchapisha au kusababisha kuchapishwa vitu vinavyochochea au kuhalalisha matendo yanayopelekea mauaji ya kimbari na makosa dhidi ya binadamu kwa kupitia mtandao wa kompyuta.
Mtu atakayefanya hivyo atakuwa ametenda kosa na akitiwa hatiani atawajibika kulipa faini isiyopungua Sh milioni 10 au kutumikia kifungo kisichopungua miaka mitatu au vyote kwa pamoja.
Pia muswada huo wa sheria unakataza mtu kutoanzisha usambazaji wa taarifa zinazotumwa bila ridhaa na ukitiwa hatiani utatozwa faini ya Sh milioni 3 au mara tatu ya faida iliyopatikana kinyume cha sheria au kutumikia kifungo kisichopungua mwaka mmoja au vyote kwa pamoja.
Mpekuzi blog
Wema Sepetu Na Idriss Wa Big Brother Wazua Gumzo
Staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na Mshindi wa Big Brother Africa 2015, Idris Suleiman wamezua gumzo hivyo mwanadada huyo kufunguka na kuweka mambo hadharani.
Wikiendi iliyopita, picha zao wakifanya shopping kwenye supermarket moja iliyopo Makumbusho jijini Dar zilizua mtafaruku kwa mashabiki wao ndipo staa huyo wa kike akafunguka.
“Shopping pamoja na Idris. Najisikia vizuri kuwa na huyu mtu,” aliandika Wema akifafanua picha hizo huku ‘kapo’ yao ikipongezwa na wengi.
Mpekuzi blog
Rais Kikwete Awasili Marekani Kwa Mwaliko wa Umoja Wa Mataifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili, Machi 29, 2015 amewasili jijini New York, Marekani kwa mwaliko wa Umoja wa Mataifa.
Miongoni mwa mambo mengine, Rais Kikwete amefunguia rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa, na Jumatatu Machi 30, 2015 amealikwa kuhutubia Baraza la Umoja wa Mataifa la Uchumi na Jamii (ECOSOC - UN).
Rais Kikwete akilakiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatifa Dkt Mahadhi Juma Maalim alipowasili jijini New York, Marekani.
Rais Kikwete akisalimiana na Waziri wa WAZIRI wa Kazi na Ajira, Mhe. Gaudensia Kabaka anayefuatiwa na Waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee ...
Jengo la ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani
Rais Kikwete akikata utepe kufungua rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani
Mpekuzi blog
Dar es Salaam Ramada to Open in April
The Nation
Dar es Salaam Ramada to Open in April
East African Business Week
Dar es Salaam — US hotel chain, Ramada International, last week announced it will officially open its first Tanzania five-star property, the Ramada Resort Dar es Salaam this month. Sources say the hotel will generate 230 job opportunities, some 40% going ...
Tanzania to spend $14 billion on railways, eyes regional hub statusEconomic Times
UPDATE 2-Tanzania to spend $14 bln on railways, eyes regional hub statusReuters UK
Divisive Elements Have No Room in TanzaniaAllAfrica.com
all 62
East African Business Week Dar es Salaam Ramada to Open in April
East African Business Week
Dar es Salaam — US hotel chain, Ramada International, last week announced it will officially open its first Tanzania five-star property, the Ramada Resort Dar es Salaam this month. Sources say the hotel will generate 230 job opportunities, some 40% going ...
Tanzania to spend $14 billion on railways, eyes regional hub statusEconomic Times
UPDATE 2-Tanzania to spend $14 bln on railways, eyes regional hub statusReuters UK
Divisive Elements Have No Room in TanzaniaAllAfrica.com
all 62
Wafanyabiashara wagawanyika
Mkazi wa mjini Moshi akipita katikati eneo la
Kariakoo mji humo huku maduka yaki yamefungwa baada ya jumuiya ya wafanya
biashara Mkoa wa Kilimanjaro kuwamasishana kuyafunga wakipinga kutumia mashine
za EFD na kupandishwa kwa kodi ya mapato, mkoani humo jana. Picha na Dionis
Nyato
Wauzaji
na wamiliki wa maduka maeneo ya Mwanjelwa, Uhindini na Sido mkoani Mbeya jana
waliwalaumu viongozi wao kwa kuwashinikiza kuyafunga maduka bila kutoa sababu za
msingi na kuwasababishia hasara.
Wamesema
tabia ya kufunga maduka inawaathiri wao na wateja badala ya Serikali
inayolaumiwa.
Wakizungumza
kwa sharti la kutotajwa majina yao, wafanyabiashara hao walisema, viongozi wao
wanawalazimisha kuyafunga maduka na kwamba atakayefungua atalipishwa
Sh50,000.
Survived: No. 1 Kentucky holds off Notre Dame 68-66
View gallery
Kentucky players celebrate with the regional championship trophy
after a 68-66 win over Notre Dame i …
Michigan State clinches Tom Izzo's most unlikely Final Four appearance
Mar 29, 2015; Syracuse, NY, USA; Michigan State Spartans guard Bryn Forbes (5) and guard Travis Trice (20) celebrates after the game against the Louisville Cardinals in the finals of the east regional of the 2015 NCAA Tournament at Carrier Dome. Michigan State Spartans won 76-70. (Rich Barnes-USA TODAY Sports)
http://sports.yahoo.com/blogs/ncaab-the-dagger/michigan-state-clinches-tom-izzo-s-most-unlikely-final-four-appearance-210330978.html
PICHA YA WEMA SEPETU NA IDRIS SULTAN WAKIFANYA SHOPPING PAMOJA KWENYE SUPER MARKET
HII NI ISHARA KWAMBA DIAMOND NA ZARINAH WANATARAJIA KUPATA MTOTO WA KIKE
UFISADI KENYATTA AWASIMAMISHA KAZI 175
Ufisadi:Kenyatta awasimamisha kazi maafisa wakuu
serikalini 175 kufuatia tuhuma za ufisadi dhi yao
Mawaziri 5, makatibu 6 wa kudumu na Magavana 10
wametajwa miongoni mwa maafisa 175 wa umma watakaolazimika kunga'atuka
mamlakani katika siku 60 zijazo iliuchunguzi wa
kina ufanyike kuhusu madai ya ufisadi dhidi yao.
Hayo yalibainika katika ripoti iliyotolewa
bungeni na rais Uhuru Kenyatta katika kikao maalum cha bunge la taifa
kilichowajumuisha wabunge na maseneta.
WANAKWAYA: JOKATE ANATUTIA AIBU
Hamida hassan
Ile skendo ya kupiga picha za nusu utupu na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii huku midume ikijirushia na kujifaidia kwa macho, ukijumlisha aibu mpya ya kukata mauno mbele ya wanaume, staa mwenye jina kubwa Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amewakera wanakwaya wenzake ambao wamedai kuwa anawatia aibu, Ijumaa lina mchapo kamili. Staa mwenye jina kubwa Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.
TUJIUNGE KANISA LA SAINT PETER, OYSTERBAY, DAR
Ishu ya Jokate kutupia picha za nusu utupu mitandaoni si mpya, mara kadhaa amekuwa akiripotiwa kwa tabia…
Ile skendo ya kupiga picha za nusu utupu na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii huku midume ikijirushia na kujifaidia kwa macho, ukijumlisha aibu mpya ya kukata mauno mbele ya wanaume, staa mwenye jina kubwa Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amewakera wanakwaya wenzake ambao wamedai kuwa anawatia aibu, Ijumaa lina mchapo kamili. Staa mwenye jina kubwa Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.
TUJIUNGE KANISA LA SAINT PETER, OYSTERBAY, DAR
Ishu ya Jokate kutupia picha za nusu utupu mitandaoni si mpya, mara kadhaa amekuwa akiripotiwa kwa tabia…
Lowassa: Siwezi kuzuia mafuriko kwa mikono
Waziri
Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema kuwazuia wananchi kwenda nyumbani kwake
kumshawishi agombee urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ni sawa na
kuzuia mafuriko kwa mkono.
Lowassa
alitoa kauli hiyo nyumbani kwake mjini Dodoma jana wakati alipotembelewa na
kundi jipya kutoka Mbarali mkoani Mbeya waliokwenda kumshawishi atangaze nia
kugombea urais.
Lowassa
ametoa kauli hiyo siku moja baada ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape
Nnauye kusema kuwa kwa kuandaa makundi ya kumshawishi, mbunge huyo wa Monduli
anajua adhabu yake na anaweza kupoteza sifa za kuwa mgombea urais kupitia
CCM.
TABIA HII YA WAUZA MITUMBA SOKO LA MCHIKICHINI NI UDHALILISHAJI WA KIJINSIA
Baadhi ya wateja wa nguo wakichagua nguo
kwenye soko la Mchikichini jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale wa
Modewji blog
Miongoni mwa mambo ya
aibu katika jamii ni pamoja na masuala ya udhalilishaji wa kijinsia ukiwemo ule
wa maungoni hasa kwa wanawake.
Kwa muda mrefu mtandao
huu umekuwa ukifuatilia vitendo hivyo vibaya kwa jamii vinavyofanywa na watu
waliokosa ustaarabu hasa jamii ya vijana katika maeneo ya mikusanyiko ya watu
wengi karibu maeneo mengi ikiwemo jiji la Dar es Salaam.
Miongoni mwa eneo
linaloongoza kwa kuwadhalilisha wanawake ni eneo la soko la Mchikichini lililopo
Ilala Mkoa wa Dar es Salaam.
Askari wawili mbaroni kwa fedha bandia
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Simiyu, Charles
Mkumbo akionyesha sare za jeshi la wananchi zilizokamatwa kutoka kwa askari
polisi baada ya kupekuliwa nyumbani kwake. Picha na Faustine Fabian
Jeshi
la Polisi mkoani Simiyu linawashikilia askari wawili wa magereza na polisi kwa
kukutwa na noti bandia ikiwa pamoja na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania
(JWTZ).
Kamanda
wa Polisi mkoani hapa, Charles Mkumbo alisema askari hao walikamatwa juzi saa
tisa mchana katika Mtaa wa Old Maswa, Kata ya Nyakabindi, wilayani
Bariadi.
Alisema
askari hao walifika kwenye kibanda cha Mpesa kinachomilikiwa na Mwalimu wa Shule
ya Sekondari Old Maswa, Kassian Luhende (29) wakiwa na pikipiki aina ya Sunlg
kwa lengo la kuweka fedha hizo katika simu.
Subscribe to:
Posts (Atom)